Nathaniel Thomas Wilson (amezaliwa tar. 20 Julai 1968[1]), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Kool G Rap (au kwa kifupi huitwa G Rap), Kool G. Rap, na Giancana (Maana ya kifupisho cha "G."), ni rappa, kutoka mjini Corona jirani na mji wa Queens, New York huko nchini Marekani.[2] Ameanza shughuli zake za kurap katikati mwa miaka ya 1980 akiwa kama nusu ya kundi la Kool G Rap na DJ Polo na pia akiwa kama mwanachama wa Juice Crew.
Nathaniel Thomas Wilson ana miaka mingapi?
Ground Truth Answers: 20 Julai 1968amezaliwa tar. 20 Julai 1968amezaliwa tar. 20 Julai 1968
Prediction: